Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,528
Lipeni Kodi kwenye chama Cha wezi, kabla sijawapa uchungu wa mama mjamzito πππ π wamekuwa matajiri hao.. kwa vitu vya wizi
hao ni tax evaders na lobbyists kuacha chuo haisaidii chochote πNamaanisha rich college dropouts ππ mshamba_hachekwi
Nachimba chumvi tuππ,Ulipotelea wapi mzee?
πππ, Bingwa wao ni d Trumpππhao ni tax evaders na lobbyists kuacha chuo haisaidii chochote π
kabisa.... being a billionaire is not about being smart, its about being trickyπππ, Bingwa wao ni d Trumpππ
π π π anza na Dahan , namuona anafanya makufuru tu ya kuchakaza pesaLipeni Kodi kwenye chama Cha wezi, kabla sijawapa uchungu wa mama mjamzito ππ
Yeahh kama kazi ngumu zinalipa, nioneshe punda tajiriππ by mchiba chumvi tu π mshamba_hachekwikabisa.... being a billionaire is not about being smart, its about being tricky
But when I get money,tafta hela Dahan is always available
ukishapata hela umtafute sasa mtoto mkaliπ muende wote ibizaBut when I get money,
π I will be _ un available ππ,
I will be focusing to build ma companies ππππukishapata hela umtafute sasa mtoto mkaliπ muende wote ibiza
Nipo hapa kaka. Vipi kuna mchongo usiku wa leo?π πMi mwizi wa kimataifa tu ππ, mwizi anaye chipukia National Anthem, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania,
where are you wezi wenzaguπ€, Sera zetu π panga mkononi
π Roho begani
you will die a virgin πI will be focusing to build ma companies ππππ
Like Nicholas Tesla ππyou will die a virgin π
Jeshi linatusaka kwa udi na uvumba, so nimeamua tukaibe viazi mbeyaππ kwa kina To yeyeNipo hapa kaka. Vipi kuna mchongo usiku wa leo?π π
Am real OkayI'm good gwamyitu, how are you too?