Ngoma ya watoto kweli haikeshi02:08 am.. good night folks [emoji120][emoji846]
Ngoma ya watoto kweli haikeshi
Tatizo masela hatujui kupenda ila tunahudumia tu
Tunaishi na miili yao tu mkuu lakini mioyo yao ipo kwa watu wengine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanamke anatakiwa akupende⦠we muheshimu na kumhudumia tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
DaahππππKuiba ngoma ya kijiji sio kazi.. kazi ni pakuipigia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Yaani, dah ππ. Nahisi Sera zetu zitapoteaππ.Bado tuu hujamwambiaππππ?? Intel unakwama wapi wewe
0:45
Happy sunday
ππHappy happy
[emoji126][emoji126]
Shukran ππHappy sunday