Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,857
- 58,656
Qul baiyana...π€π€π€πππAu ndo kusema ulichopewa na Mungu kumnyima mwenzio dhambiπππ
Mi ni balozi... π€π€π€Kitengo ganiii, au mpiga chaboo wa kimataifa??
Huku utacheka mpaka ujikojoleeππ€£Nyie bhana ππ
Anatania sio kwamba kweli mi mpiga chabo..Nyie bhana ππ
π€π€π€ Una experienceHuku utacheka mpaka ujikojoleeππ€£
Mwizi anaye chipukia National Anthem mimemtumaa akatafute hell ya rejesho. Maana tuna mkopo katika chama Cha wezi wa kimataifa Aaliyyah ona hiiWana mambo mengi mnoooo......
National Anthem yupo wapi nae...?
Akipita huku jf usiku wa manane itakua poa sana..mida hii ndio Mh.mama Samia anapitia Jf na kusoma utopolo mnaondika humu
Ya kuwakojolesha watu au??ππ€£π€π€π€ Una experience
Una macho makubwa Kama CCTV camera ya ikulu ππAnatania sio kwamba kweli mi mpiga chabo..
Niliachaga huo mchezoπ€π€π€
Experience ya wewe kama weweYa kuwakojolesha watu au??ππ€£
Chabo sipigi sa hivi..Una macho makubwa Kama CCTV camera ya ikulu ππ
Labda ya kuibaa, coz Mimi intelli ni mwizi wa kimataifa tu.Experience ya wewe kama wewe
Dahh, una kataa akati we ndo msoma ramani was chama Cha wezi wa kimataifa.Chabo sipigi sa hivi..
Now tupo digital zaidi an
Daaah aiseeeule uzi ni wa wanzinzi tupu, hauna udhu!!
Wizi huo iba vya wanyama sio vya watu π€π€π€Labda ya kuibaa, coz Mimi intelli ni mwizi wa kimataifa tu.