Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,527
Welkamu baki, from kulalalingπIntelligent businessman bado tupo... Bado tupo lindo mkuu
Sikulala kabisa .... Kuna vtu nilikua nafanya hapa nimeona vinanivruga hadi nikawa nahisi usingizi daahWelkamu baki, from kulalalingπ
Kuwa makini usije changanyikiwa, kiss kukosa usingizi.Sikulala kabisa .... Kuna vtu nilikua nafanya hapa nimeona vinanivruga hadi nikawa nahisi usingizi daah
Ulali tuuπ€π04:04
Kuna shida gani .? Kuna nini ?Nipo sehemu, kiukweli vijana tuna safari ndefu ya kufikia mafanikio Kama hatutokuwa serious π€π€
Nina stress hapa..balaaUlali tuuπ€π