Wamefungiaje?! VPN ni app. unataka kutuambia hizo app. Wenyewe Wamezi-disable zisifanye kazi hapa BONGO au ni TCRA ?! π€Vpn zimefungiwa asee ππππ
atozproxy.comVpn zimefungiwa asee ππππ
Nasemea ya PHX browser ni. Pointless inasema not available in your country so sadWamefungiaje?! VPN ni app. unataka kuniambia hizo app. Wamezi-disable zisifanye kazi hapa BONGO?! π€
Daah imenikubalia asee asante mkuuu haa hawatuwezi hawaatozproxy.com
Ntabaki na hii atozproxy asee hiyo nyingine ina mambo mengi
Wenzetu huko mbele wako vizuri kwenye IT & software; no need of vpnNtabaki na hii atozproxy asee hiyo nyingine ina mambo mengi
Duuh we ulizijuaje asee π³Wenzetu huko mbele wako vizuri kwenye IT & software; no need of vpn
Huwa napenda kujifunza vitu vipya kila siku, hasa kwenye ITDuuh we ulizijuaje asee π³
Ok sawasawa tupo sambambaHuwa napenda kujifunza vitu vipya kila siku, hasa kwenye IT
Hapa naangalia huko duniani, wanaotafuta kazi za animationOk sawasawa tupo sambamba
Mkuu ππ
Kivipi hiyo mkuu unaangalieje hiyo π€Hapa naangalia huko duniani, wanaotafuta kazi za animation
Naingia kwenye mitandao ya kijamii; na click looking for animation jobs; wahusika wanaotafuta hizo kazi wanapatikanaKivipi hiyo mkuu unaangalieje hiyo π€
Ohh sawasawaNaingia kwenye mitandao ya kijamii; na click looking for animation jobs; wahusika wanaotafuta hizo kazi wanapatikana