Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Naomba unipatie majina ya waliodoji kijanaMzee kama mzee ndio anaingia na V8 yake
Kazi iendelee mrembo π€£tchaot sema jambo mkuu.. π
Washa dawa ya mbu02:24.. Tupogo π
Nishaua mmoja hapa wenzie wameenda msibani.. πππWasha dawa ya mbu
Supu yake tamu kweli,ukidaka mwingine ,nishtue nije,nitakula hadi kongoro zakeNishaua mmoja hapa wenzie wameenda msibani.. πππ
Yaan hivi vidudu ndomaana vikapewa tumwili tuduchu.. πππSupu yake tamu kweli,ukidaka mwingine ,nishtue nije,nitakula hadi kongoro zake
Tusingekuepo aisee hahahaYaan hivi vidudu ndomaana vikapewa tumwili tuduchu.. πππ
Emagine mmbu wangekua wakubwa kama simbaπππ
Na hatuna maisha marefu ,akikuuma hakai Sana anakufa,imagine na sisi binadamu ukikojoa kimoja tu unakufa hahahaYaan hivi vidudu ndomaana vikapewa tumwili tuduchu.. πππ
Emagine mmbu wangekua wakubwa kama simbaπππ
Watu tusingekojoa lohππππNa hatuna maisha marefu ,akikuuma hakai Sana anakufa,imagine na sisi binadamu ukikojoa kimoja tu unakufa hahaha
Bora twakike tunaishi muda kidogo ila twa kiume wiki tuu chaliπππNa hatuna maisha marefu ,akikuuma hakai Sana anakufa,imagine na sisi binadamu ukikojoa kimoja tu unakufa hahaha
mafuta futa hahahWatu tusingekojoa lohππππ
Havisuguliwi vizuri,uto twa kiume tutavipa mkongoBora twakike tunaishi muda kidogo ila twa kiume wiki tuu chaliπππ
Tungevipa al-kasus.. Famchezo ninπππHavisuguliwi vizuri,uto twa kiume tutavipa mkongo