Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,130
π€π€π€ Ni mda gani friji linaweza kutumiwa kama heater (salton) ?Friji linazima na kuwaka hili nadhani limepata shida ya saikoloji
Kameanza kulia na mimi nmeanza kuigiza naliaAkishakipata ulete mrejesho mkuu..π€π€π€π€π€
Mi sijui hata labda Lina stressπ€π€π€ Ni mda gani friji linaweza kutumiwa kama heater (salton) ?
Anaona mnacheza ngoja sasa.Kameanza kulia na mimi nmeanza kuigiza nalia
Kametulia kanashangaa mshua vipi ππ
Limekaa mda mrefu bila ya kuweka baadhi ya vituMi sijui hata labda Lina stress
Like father like sonLeo Kuna ki TV kidgo nmekiona sehemu nlkua na swalehe dgo akaniuliza baba mbona yule kabandika tablet ukutani ππ
Nkasema yaah hii damu yangu hii sijapigwa hapa
We jamaa ππ nlnunua 6m hili unanichukuliaje πLimekaa mda mrefu bila ya kuweka baadhi ya vitu
Yaah dgo mnyama Kuna kitoto cha kihindi kakitongoza juzi kimempiga chini πLike father like son
Ahahahahah la mchongo.... HiloWe jamaa ππ nlnunua 6m hili unanichukuliaje π
Hatujambo Poor Brain shemeji hapo pembeni anasemaje
Jana na leo mkuu. Nipo lindo πIceberg9 Half american Analyse Mzee wa kupambani Intelligent businessman Poor Brain mkuje kuita lokoo mapema sana leo
The ORANGE π CONCERT hakuna kulala hapa siti ya mbeleIceberg9 Half american Analyse Mzee wa kupambani Intelligent businessman Poor Brain mkuje kuita lokoo mapema sana leo
BAyern vs psgIceberg9 Half american Analyse Mzee wa kupambani Intelligent businessman Poor Brain mkuje kuita lokoo mapema sana leo
Una zawadi yako ya tunda kutoka tinder soon linakuja ππJana na leo mkuu. Nipo lindo π
Atajutia akikua.. kwanini amerithi..Yaah dgo mnyama Kuna kitoto cha kihindi kakitongoza juzi kimempiga chini π
Kanisimulia Jana Nkasema yaah damu yangu hii
Mpira halamu bhna πππ usitulete hapa puliziiiBAyern vs psg
Nan atasonga mbele? Au mpira ni dhambi π