Tatizo unaongea sanaaa mchanaaaπππukifika night unahisi bado ni mchana tuuuπππNi unakuta kuongea ni normal hususan kama ulikua umechoka sana kutwa yako ukipata usingizi mzito kuongea kunatokea kuna wakati nilikua naita majina ya watu wa kazini its normal
Heeh new member nawao ni mapopo π€9345
Ngoja tuendeleze ulinzi π πNi kukesha tu
Vita ni vita mpaka chenji isibaki ya mahari ,mzee wako kala mahari ng'ombe 10 na kitita cha miliona 10 acha pasuguke tu hujaja kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri morning G.. Saev muda wa kupumzikaa.. Sio vita bhanaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Inategemea na uliyokuwa unayaongea, kwa watoto huongea yale waliyokuwa wakifanya kutwa. Ila maombi ni muhimu.Anhaaa haina madhara yoyote??
Maana nimeambiwa kesho niende kwa mwamposa ππ
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unaongea unabishana kama unataka kumrukia mtu ahhh acha banah kumbe upo usingizini,urekodiwe ili ukubali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe siko mwenywe
Yes numeambiwa hivo
NitaendaInategemea na uliyokuwa unayaongea, kwa watoto huongea yale waliyokuwa wakifanya kutwa. Ila maombi ni muhimu.
Utaenda?
Zaburi ni ya ulinzi tuimalize yote [emoji4][emoji433]Amina
Tusome mstari gani sasa
Ndio kilichomkuta jamaa. Ashapewa mke huko π π ππ Hawachelewagi hao ndoa inafungishwa hata gest
Vizuri uwe na imani.Nitaenda
Huko rum kutalalika tu kwa uwezo wake YESU, hamna baya litanikuta
Its well with my soul
Hapanaa mzee alimwambua afanye kistaarabu au kama hatoweza anirudishe na achukue oesa zakeπππfamchezo ninVita ni vita mpaka chenji isibaki ya mahari ,mzee wako kala mahari ng'ombe 10 na kitita cha miliona 10 acha pasuguke tu hujaja kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaa mzee alimwambia afanye kistaarabu au kama hatoweza anirudishe na achukue pesa zakeπππ famchezo ninππVita ni vita mpaka chenji isibaki ya mahari ,mzee wako kala mahari ng'ombe 10 na kitita cha miliona 10 acha pasuguke tu hujaja kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana ππ12:39 kisichoniua, kitanikomaza kiaskari.
Ukinichukia, Ina dhihirisha mi mkali
Famasihala nini na mtoto wa shekhe, kuna jamaa alishakimbia akaacha na vitu vyake vyote akiogopa ndoa ya mkeka baada ya kifumaniwa na mtoto wa shekhe.Ndio kilichomkuta jamaa. Ashaolewa mke huko π π π
Tupo mapumzikoni mechi bado mbichi, tunavuta pumzi na juice [emoji3047] ya matikiti tuendelee kupiga mikito tuingie round ya tatu, hatufananiiii we baki single mzeeWaliopo lindoni muda huu, wengi wako singo; au hawana mahusiano mazuri na wenzi wao; nendeni mkaboreshe ndoa, kukaa lindoni sio sifa πππ
Tuliopo lindo, kila kitu kipo sawa kwenye mahusiano yetu. Nyie badala ya kulala mko busy kusuluhishana muda huu π π πWaliopo lindoni muda huu, wengi wako singo; au hawana mahusiano mazuri na wenzi wao; nendeni mkaboreshe ndoa, kukaa lindoni sio sifa πππ
Mambo ni mengi mnamahitaji mengi, hayo ni machache kati ya mengi mtuvuruge tu maana ubongo wa mwanaume ni kama computer unapokea una process na produce results[emoji23][emoji23][emoji23]Badilisha styl bhana alafu usiongee sana..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Tia mpungaa hata kama ni mkeo mwambie mama chanjaa hii ya kitenge kesho[emoji3][emoji3][emoji3] ohoooo utaona kama hutaamshwa moningiii kupewa vyotee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yahoo boy huyoHataki ndoa, ila puchi anazitaka π
Anafanya research eti anakusanya data participative observationWewe uliepo dabo unafanya nini huku
Usituchanganye em