Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,280
- 7,968
Hizi ni lyrics mkuu au kama nazipata hiviiNow I put my hustlers in full effect
Keep my prayers in motion,
ain't no pull back
I was boxed in
All the boxes, I couldn't check in
And still GOD came through for me, would you look at that
Mbona nipo live
Mwanaume una lalamikaje kisa mbu??, Watu tumelala nje huko madarajani aise🤔🤔. Tena bila kulaLicha ya kuwasha hii mashine mbu bado wananifwata dah Half american njoo ufukuze mbu ili usilake ukisaidiana na Intelligent businessman
😂 sina tabia za wizi labda kwenye mahusiano ya watuBas ulikuwa kwenye banda la kuku unaiba mayai [emoji23]
Huogopi kupishana na vibwengo0227
Mwanaume una lalamikaje kisa mbu??, Watu tumelala nje huko madarajani aise[emoji848][emoji848]. Tena bila kula
Huogopi kupishana na vibwengo
Uliniona mpole eeh? Nina muda na muda. Kuna mida ni sister wa Katoliki. Na muda ni vuruvuru... inategemea niko wapi 😊😊😊😊😊😂 kumbe huwa una fujo hivi
[emoji23] sina tabia za wizi labda kwenye mahusiano ya watu
Mwachiluwi acha mambo yako. Kumbe umeweka za mchongo eehVocha za mchongo hizo nilijaribu tu ili nithibitishe[emoji28][emoji28]
Sikutegemea au ndio akili za usiku/night mode ipo ON 😂Uliniona mpole eeh? Nina muda na muda. Kuna mida ni sister wa Katoliki. Na muda ni vuruvuru... inategemea niko wapi 😊😊😊😊😊
Ww huyo kachelewa af ka edit sms iyoMwachiluwi acha mambo yako. Kumbe umeweka za mchongo eeh
Ameonja zabibu nime mpaSikutegemea au ndio akili za usiku/night mode ipo ON 😂
🤣 hizo zabibu haziishiAmeonja zabibu nime mpa
Haziishi zipo kwa ajili yen🤣 hizo zabibu haziishi
Mimi nipe K vant zabibu wape Ke.Haziishi zipo kwa ajili yen
Kunijia mimi ni ngumu. Hata mimi sijielewi kama ni mpole ama mcharuko. Ila niko vile mtu anavyonijia 🤣🤣🤣🤣🤣Sikutegemea au ndio akili za usiku/night mode ipo ON 😂