JamiiForums Usiku wa manane

Ngoja niwahi home na gwanda zangu mie korokoroni maana kitaa wanajua mie kitengo nikiamka saa 4 napiga kaunda suti yangu na kuingia kitaa kufanya yangu mjini maisha ni mipango shida ukiwa lindo unatakiwa kuvaa uniforms sasa nimelala kile kifuko cha nguo zangu za kiraia kimepigwa mvua
 
😀😀😀 kichupa kimejaa sio. Huyo atakayekuwa wa kwanza kumiminiwa kichupa atakoma
Mkuu huwezi amini ila it's true, hata wiki ilopita nilipata mgeni a friend of mine was kike.
Aliforce kulala ninapoishi ila still I didn't f.uck her🤐🤪, Tena kalala na night dress kunikomoa, eti naambiwa si unajifanya paroko utajua Mzee wa kupambania
 
Hizo nafasi nazitafuta sana mwanawane wenzetu mna bahati sana mbususu inajileta hadi magetoni daaah🤔 mimi mbususu za bure sipatagi kabisa lazima niingie gharama 😅😅😅
 
Hizo nafasi nazitafuta sana mwanawane wenzetu mna bahati sana mbususu inajileta hadi magetoni daaah🤔 mimi mbususu za bure sipatagi kabisa lazima niingie gharama 😅😅
Mi nawachukuliaga Kama washikaji tu, hata wao wanajua hilo.
Sema Kuna mmoja Sasa, dah hua anakua kaksi kinyama, sijui anahisi nawakulaga wale wengine Mzee wa kupambania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…