Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,449
- 100,740
π€£π€£π€£π€£ Mambo?To yeye Lovelovie Bantu Lady Mamndenyi ndo mmepata watoto wachangaaaa? Yan likizo kila mara haya basi mwache kaz mkae tu nyumban muwe mnachukuwa tu mishahara
Poaπ€£π€£π€£π€£ Mambo?
Mim nilikua honeymoon βΊοΈTo yeye Lovelovie Bantu Lady Mamndenyi ndo mmepata watoto wachangaaaa? Yan likizo kila mara haya basi mwache kaz mkae tu nyumban muwe mnachukuwa tu mishahara
π€00:33
Leo Tena kapo katkifa.00:38
Leo tunakesha na furaha, kuna kapaka kamekufa mara 3 huko ππππππππ
Run town ngoja nizuke fb kwanza ntarudiMr Pastor P , wapi umepotea.
Huh for sure01:08 ain't got pride to reach to nobody