Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Pole Ankol amesema atakupea saa 9? ππππππWarembo mnajua kutuweka, hapa silali hadi saa tisa, ili nipewe dahπ π
Yaan sio poaaππnaona Dahan na Bantu Lady wamekuwa fixed...π π π wanatekeleza majukumu ya 6*6
03:10 kama hujapewa lala tuWarembo mnajua kutuweka, hapa silali hadi saa tisa, ili nipewe dah[emoji28][emoji28]
Asubiri morning glory etππ03:10 kama hujapewa lala tu
Badooo sanaaLaleni Sasa....
Muda wa morning Glory bado sana 03:22Asubiri morning glory et[emoji23][emoji23]
Kwaio afanyaje? πππMuda wa morning Glory bado sana 03:22
Achukue sheria mkononi akisaidiwa na sabuni[emoji85] 03:31Kwaio afanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
tunasogea mkuuTwende kazi 03:42