Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Si chini ya elfu20 au 30 kisa tu nimekosa usingizi na utalipia pesa hiyo na unaenda lala chini huku umebanana na mateja, majambazi, wauaji na kila laana ya mtu [emoji848][emoji23][emoji23] ngoja nigeuze nikatulie kwenye godoro
Niponipo mkuu
😳na kiza hiki soda? .....No labda maji vuguvuguNjoo ukunywe soda uku tunayajenga
[emoji15]na kiza hiki soda? .....No labda maji vuguvugu
Sawa,naja Boss mtotoHaya ukuje nitakuchemshia mkuu
Sawa,naja Boss mtoto
😳usiku huu,no afu nimelala kivivu kweli...sitaki bughzaNikukodie ndege au huba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule pana chosha sana! Unalala unachoka unaamka unapumzika alafu unalala tena[emoji1787]Na bado mbu hawaja kuzomea masikiona wengine mbu wanakutekenya miguuni hili mladi tu usifurahi
[emoji15]usiku huu,no afu nimelala kivivu kweli...sitaki bughza
Kule pana chosha sana! Unalala unachoka unaamka unapumzika alafu unalala tena[emoji1787]
Tena usiombe uwe huna chupa ya maji kubwa utaona kila aina ya rangi tofauti na kero ya harufu kali
😂utafumwa,shauri yako.Unadhani hubby jina hili halijui eti?Khaa bas acha nije nikufwate sawa mmy
[emoji23]utafumwa,shauri yako.Unadhani hubby jina hili halijui eti?
Usiombe! Kule napafahamu vizuri sana nimesha hudhuria mara kadhaa! Usiku kama huu anaingia mtu kesha legezwa akiwa mtata tu na humo ndani mnaamka wote mnaanza kumkanda mpaka atulie[emoji848]Na huku mateja wanakuvutia pumzi ukijamba wanakupiga au wanakugeuza na
Police wanashangaa hawana muda na ww
Oo wow! Real?Siogopi ata kidogo kufumwa z[emoji23][emoji87][emoji23]
Usiombe! Kule napafahamu vizuri sana nimesha hudhuria mara kadhaa! Usiku kama huu anaingia mtu kesha legezwa akiwa mtata tu na humo ndani mnaamka wote mnaanza kumkanda mpaka atulie[emoji848]
Oo wow! Real?
😂dahReal yah