JamiiForums Usiku wa manane

Labda ameshow up kwa pm huoni like anajibu hivi.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Vijana tuna matatizo mengi hakika. Unahitaji moyo imara kuweza kuyatatua baadhi ya hayo matatizo, the worse enough sio wote wenye mioyo hiyo sasaπŸ˜†πŸ˜†
 
04:07 kwa hio ikawaje sasa hapo dirishani kwenu mmewatimua au bado wapo wanawachabo?
 
Huyu mwamba ananifanya nibadirishe detail yangu ya ulinzi. Oya wakurungwa kuweni nae karibu jamaa asije akachukua uamuzi mbaya maana kwenye maneno yake nimeona neno DEATHπŸ˜„πŸ˜„
 
04:08 ushaanza kupoteza majira angalia usije ukafloat tu hapo never die zimekua nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…