JamiiForums Usiku wa manane

Kulala sober kazi sana, sasa usingizi unakata saa nane niamke nikafue au nikae nje tu niote jua😔

Ngekua nimepiga vibia viwili tu sahivi ningekua naota maisha mazuri
Si ndio yaani usingizi ni tubia bila bia hakataki kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…