JamiiForums Usiku wa manane

Inaelekea siku hizi watu hawakeshi tena[emoji848]
Kweli nchi hii imekuwa ya asali na maziwa kutwa watu wanalamba asali na usiku wanalala fofofo!
 
Leo naupiga mwingi kama wanasiasa wa CCM wakianza kumsifia rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…