Yani nafumba macho kabisa nilale ila usingizi haujii sijui nimelogwaa....najua kesho wengine kazii ila kama na wewe hudamki kama mimi na unasubiri "mishe flani" kama mimi na huna usingizi njoo basi tukeshee hadi usngizi ukuje
Jamani msaada wa vocha ya TTCL hata ya jero jamani.
Maduka yamefungwa huku halafu nimebakia na MB 20
β€I miss the person I was when I was with you, Saint Anne
Uzi wa usiku una comment asubuhi
Tangu umeamka usiku juzi na kuingia jf basi unaninyanyasaπUzi wa usiku una comment asubuhi
Ama ushapigwa mnada upo zako ughaibuni huko unakula kuku kama vijana wa babuJuma Hajimwenye akili "Duni"
Leo usiku uje hapa tukesheTangu umeamka usiku juzi na kuingia jf basi unaninyanyasaπ
Tuwekeane hela kabisaLeo usiku uje hapa tukeshe
Ngoma ya watoto haikeshi.Tuwekeane hela kabisa
Atakayelala anamlipa mwenzie
πππππππNgoma ya watoto haikeshi.
Ntakumalizia bure buku saba zako ulizojikusanyia hapo lumumba
He who finds a wife finds a good thing and obtains favor from the LORD. The man who finds a wife finds a treasure, and he receives favor from the LORDπππππππ
Hivi hizi hela wananipa akina bia yetu,utazipokea kweli??
.......π
View attachment 2112446
Hivi unajua pekeyetu tunaharibu uzi wa usiku wa manane kwa kuchat mchana wa jua kaliπ
Pengine kuna kitu tumevuta.....cha malawi?Hivi unajua pekeyetu tunaharibu uzi wa usiku wa manane kwa kuchat mchana wa jua kaliπ
Wewe huyoπ€£π€£π€£Pengine kuna kitu tumevuta.....cha malawi?
Embu tuondoke hapa
Tuje tena saa nane....USIKUWewe huyoπ€£π€£π€£
Naona kilishakukolea