Yaan mbele yako kaka haongei kitu in chagga voice, naomba nikake Kuna kitu KK kaniagiza nikifanye muda huuAti nini!? Hayo maringo nimeyaanza lini mie? Unajifanya umewasahau kaka zako wa kimarangu eeeh!
[emoji23][emoji23][emoji23] kauli nzito hii, ngoja mwenyewe akija ataisemea.Yaan mbele yako kaka haongei kitu in
Kwani wewe upo aisee namimi nimefurahi pia.Za siku best! Nimefurahi sana kukuona maana sijakuona siku nyingi kweli.
Wewe ndo unatuchungulia tu bila hata ku like eeh?Nipo love, uliniambia nipumzike kidogo huku, au umesahau,,,darln bhana. ,,,Heri ya mwaka mpya kwa Wana JF wote
Nana mke wangu nna hamu03:04
Namshukuru Mungu umevuka na mmWewe ndo unatuchungulia tu bila hata ku like eeh?
Kitambo sana
Nana mke wangu nna hamu