JamiiForums Usiku wa manane

Tuwahurumie mahomeless na panapowezekana tuwape msaada jaribu kutafakari baridi la ukanda wa nyanda za juu kusini bila ya sehemu ya kuishi ni maumivu yasiyoelezeka.

Mimi leo usiku nipo nje na makoti yangu lakini kiwinter kinanitoa kwenye mood naomba kwa mwenyezi Mungu anifanyie wepesi morning ifike haraka ni ondokane na hii adha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…