JamiiForums Usiku wa manane

HIVI HAKUNA JINSI HUKU KUKESHA NIKAGEUZA CHANZO CHA KIPATO?

IDEAS WAKUU.
Anzisha kijiwe cha kahawa. Lete wazee wawili, mmoja mwanasimba na mwingine mwanayanga, pia wawepo vijana wawili, team kiba+konde gang na team diamond. Utavutia wateja balaa. Wazee wakianza mabishano watu watajaa kunywa kahawa huku wanashuhudia mpira wa mdomoni live
 
Dah. Hii idea safi mkuu. Ngoja nianze kutafuta location kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…