Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,124
- 201,143
Amin0605
Tunafunga lindo.
Na ikawe Ijumaa njema kwenu
Nipo hapa kamanda mkuuMakamanda
Boss Kichwa Kichafu
Mkuu wa kitengo moudgulf
Kamanda wa zamu Hank_31
Mtunza silaha Shadow7
Salaam mkuu Abrianna12:07
Sawa nimekubali bila hiyana
Salama afande, leo nakesha nimekosa usingizi najaribu kutafakari hii kodi ya mshikamanoSalaam mkuu Abrianna
DaniellaCandle in the Wind
Sleeping with the pastDaniella
Kesha hapa ila punguza mawazo.Salama afande, leo nakesha nimekosa usingizi najaribu kutafakari hii kodi ya mshikamano