Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Nini tena[emoji15]01:32
Vibaka ni watu wapumbavu sana[emoji3525] Leo kibaka ataenda kusimulia wenzake hataisahau siku ya Leo.
Aiiisee huu ni usiku wa ajabu sana, kibaka kaingia choo cha kike kaiba kashindwa kutoka☹️, kapokea kichapo sana sidhani kama atarudia tena mpumbavu yuleNini tena[emoji15]
Pole sana Mkuu, naamini mmempa dose ya kutosha, akasimulie huko aendako!Aiiisee huu ni usiku wa ajabu sana, kibaka kaingia choo cha kike kaiba kashindwa kutoka[emoji3525], kapokea kichapo sana sidhani kama atarudia tena mpumbavu yule
Asante Mkuu, yule hawezi rudia kwa kilee kichapo kama Askari wa Forest wapumbavu sana hawa jamaaPole sana Mkuu, naamini mmempa dose ya kutosha, akasimulie huko aendako!
Saa 04:23Ni saa ngapi huko kwa mwenda zake?
Karibu tena
Mapema sana mzee baba