Pole sana, nadhani unaishi karibu na ukanda wenye misitu minene, huku kwetu jua ni kali na kuna joto la kutosha[emoji99][emoji943]
Mvua za kipindi hiki zina radi Kali sana, imepiga moja ya ngurumo hadi usingizi umepepea [emoji948]
Zipitie zote mkuuHuu muda ndo ule wakusoma zile nuzi fikirishi lkn sio za kutisha
Ndio nawakumbukaUnawakumbuka bbade,asteria n Rowin??
mzm sjui weweMzima
0600
Tunafunga lingo sasa
Na ikawe siku njema kwenu wote