mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,626
- 2,484
mkuu, kwenye mvua kama kuna kibaridi na uko geto ww fungulia muziki mdogo mdogo, na valeur yako safi hutakaa kuwaza jiko.Huku kwetu mvua inanyesha na kabaridi kwa sana.. sasa naona umuhimu wa jiko.
naam naaam naitaka tena ASAP mkuu, nipitishie usiku wangu.Ndio..unataka picha yake..?
Kwema dear, na mimi nimeitwa mstaarabu leo bichwa litapasuka hili kwa sifa😀😀 nakuona lindo usingizi umeenda wapi?😂😂 Kadada kastaarabu..poa..kwema?
Duh unanifundisha pombe mkuu..? mimi mlokole jamani.mkuu, kwenye mvua kama kuna kibaridi na uko geto ww fungulia muziki mdogo mdogo, na valeur yako safi hutakaa kuwaza jiko.
sikufundishi mkuu, mi nimekupa technique/elimu/taarifa ni juu yako kuitumia au laa!.. ila huo ndo ukweli.Duh unanifundisha pombe mkuu..? mimi mlokole jamani.
Mbona sio mnyimi mkuu muombe tu usiogope huu ni usiku wa manane hakuoni mtunaam naaam naitaka tena ASAP mkuu, nipitishie usiku wangu.
ha ha ha ha! kwahiyo bila shepu ya yna2 haulali mkuu.nipitishie usiku wangu.
Hahaa Naona unanitengenezea kesi mkuu, umeibiwa saa ngapi wakati niliconcentrate kabisaasikuamini, mimi nimeibiwa hapa sasa nashangaa unalinda nini.
nkienda kumuomba nahofia interview!.. ww nitumie tu kwanza nataka nimthaminishe ili nijue hta akianza kunizungusha PM nijue she is worth it or NO.. usijali siwezi kuipunyetia picha yakeMbona mnyimi mkuu muombe tu usiogope huu ni usiku wa manane hakuoni mtu
ha ha ha ha! kwahiyo bila shepu ya yna2 haulali mkuu.
Ana bonge la shepu yule Sanch wenu anasubiri aisee😘eti una kishape yna!?
mkuu nimeibiwa saa 5 na nusu. .Hahaa Naona unanitengenezea kesi mkuu, umeibiwa saa ngapi wakati niliconcentrate kabisaa
Ha ha ha! valeur hainileweshagi mkuu.sikufundishi mkuu, mi nimekupa technique/elimu/taarifa ni juu yako kuitumia au laa!.. ila huo ndo ukweli.
Aah babe mwenyewe unanizingua ndiyo maana nimeamua nije kukesha huku🤔Bebi hulali
shepu la sanchi mimi halinistui napenda kishepu flani hvi yaani kitako kipo alafu kimebinuka, chuchu zipo katika uwiano sawa, na portable ili nimbinue binue vizuri.Ana bonge la shepu yule Sanch wenu anasubiri aisee[emoji8]
ha ha ha Acha uongo eti sanchiAna bonge la shepu yule Sanch wenu anasubiri aisee
kiwango gani!?./ mimi nakunywa ile chupa ya 750mils.. ndo naisikia ile vile vidogo ni hasara.Ha ha ha! valeur hainileweshagi mkuu.
ukimchoka njoo kwangu hutajuta japo, sitakuepo upande wako daima, ila the moment will count!Aah babe mwenyewe unanizingua ndiyo maana nimeamua nije kukesha huku[emoji848]
Ok mda huo shift yangu ilikua haijaanza, alikuwepo huyu Super Villain njoo ujibie huku mkuumkuu nimeibiwa saa 5 na nusu. .
Mimi natumia prince,ice,gold na konyagi mara chache sana co nikipiga val naona inaniumiza koo tu.kiwango gani!?./ mimi nakunywa ile chupa ya 750mils.. ndo naisikia ile vile vidogo ni hasara.
mkuu nakufatilia humu tangu saa 4.. call me a stalker and i won't deny!Ok mda huo shift yangu ilikua haijaanza, alikuwepo huyu Super Villain njoo ujibie huku mkuu