Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 739
- 1,759
Haha ukiimba kwa nguvu lazima watu wageuke waone hiyo sauti inatoka wapi sasa ππZipo nyingi mfano
Rihanna - where have you been [emoji23][emoji23]
Beyonce - If I were a boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nasikiliza hiyo ya Rihanna hapo juu nikasema hii hapana kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23]Haha ukiimba kwa nguvu lazima watu wageuke waone hiyo sauti inatoka wapi sasa [emoji23][emoji23]
Karibu sana
Hahah!Hao woteee kamandas yna2 Goddess Rowin mama D Saint Anne hawana shida ndogo ndogo za vocha watakuja sasa hivi
Yani ulikua unasubiriwa
π³Kazi ishanishinda acha nilale [emoji42][emoji42]
Na hii baridi uko hapo? Watu mnajiweza jamani khaa!! π101 ( one O one ) Chuga
Na hii baridi uko hapo? Watu mnajiweza jamani khaa!! [emoji28]
Kwema,
Ulimisiwa hatari mpaka watu wakaamua kususia lindo, tatizo raia hawana imani