JamiiForums Usiku wa manane

Nadhani utashangaa siku nakuja geti la peponi malaika wananiruhusu kuingia halafu umezuiliwa. Hivi utajisikiaje?
Wala sitashangaa ila ntaandamana yaani hiyo kitu haiwezekani itabidi malaika walinzi watoe taarifa πŸ˜€
 
Kumbuka kwa Mungu hakuna maandamano wala kukata rufaa. Ukisikia umesomwa wewe na huyo unayemtete Super Villain kwamba mnakwenda kuwa kuni hakuna mjadala.
 
Sisi tukienda kwa kuni, wewe utakuwa ushageuzwa kuni yenyewe maana hata ukiwekwa motoni itakuwa ni wastage of space πŸ˜…πŸ˜…
 
Ndio utaona maajabu ya Mungu. Wanafiki anawajua na wale tunaomuabudu kikweli kweli anatujua. We jidanganye tu.
 
Hivi unajua radi ya Mungu ni limitless brother..unaweza pigwa radi kwa kumdhihaki Mungu ujue 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…