Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwavile vicheko na yale maneno uliokuwa ukinicomfort alafu unataka saiz uzuri ushaidi upo juu hapo [emoji115]Leta hio smoothie ya pineapple nishushie movie yangu inanoga hapa
Hii nyimbo mwana aliimba sana naona alimuimbia ruby tu.Kusah- Hujanikomoa[emoji445]
Maajabu ya Musa fimbo kawa nyoka eti ananitishaaa[emoji981]
Dogo anasauti mashaallahHii nyimbo mwana aliimba sana naona alimuimbia ruby tu.
Ninywe kitu kinanuka uozo[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwavile vicheko na yale maneno uliokuwa ukinicomfort alafu unataka saiz uzuri ushaidi upo juu hapo [emoji115]
Laliltul qadri ushamaliza iswali?!
Asante sana kwa matusi yako fala ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninywe kitu kinanuka uozo[emoji38]
Poa vp mzee?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]utajua hujuiAsante sana kwa matusi yako fala ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo niko kwenye mood nzuri sana mkuu.
shukrani sana endelea kusambaza upendo.Leo niko kwenye mood nzuri sana mkuu.
Na ungejua siku ile comments niliopewa baada ya kufuatwa pale Jet [emoji23][emoji23][emoji23] sikutamani hata kukuambia najua ungechamba sana siku ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]utajua hujui
IlikuajeNa ungejua siku ile comments niliopewa baada ya kufuatwa pale Jet [emoji23][emoji23][emoji23] sikutamani hata kukuambia najua ungechamba sana siku ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja sana mkuu....
Mm ndo sielew akili ipo kwenye simu dah[emoji25]
Siwezi kuandika hapa kwa kweli nitakuandikia huko kwengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana inakata sana.Ilikuaje
Nitawatoa kishipa skilizia unavyokula za uso ssSiwezi kuandika hapa kwa kweli nitakuandikia huko kwengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana inakata sana.