You're right. Nitaanza upyaHapo nilipokuwa nafeli, leo nakumbuka kesho nasahau...na hivi vitu vya rohoni (au vitu vinavyoendana na hivyo) vinahitaji consistency, hakunaga short cut kabisa.
Merci beaucoup mon frรจreMerci ,Petit
Nimekosa neno mkuu naona muda wa kufunga lindo unakuwadia kwa kasi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, poleeee Sanaa mkuu, komaa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini nyingi zinakataza hizi mambo, sisi wakatoliki hata meditation tu ni mwiko mkali.MI niliachaga baada ya kuona zinanipeleka sehemu sio sahihi. Kiufupi nilijawa na hofu nikaamua kuacha. I was at a point of achieving the big goals in a spiritual realms
Sent using Jamii Forums mobile app
Je vais bien, merciMerci beaucoup mon frรจre
[emoji2398]แตสณแตแตแต [emoji769]
0551hrsNimekosa neno mkuu naona muda wa kufunga lindo unakuwadia kwa kasi sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
And the holly spirit came in a form of a dove and stayed above Him.
Atakaejua huu mstari atapata kitu kizuri leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu tunalinda kwa muda wa GMT
Hii bhana mi ndo nilikuwa naitaka sana. Siwezi kusema nilifanikiwa kwasababu sikuwahi kujiona pembeni ya mwili wangu ila kusafiri spiritually nimesafiri sana. Hofu ndio iliyonifanya nikatishe haya mambo maana nikiangalia kukutana na vitu nisivyovielewaDini nyinngi zinakataza hizi mambo, sisi wakatoliki hata medittion tu ni mwiko mkali.
Kitu nina ndoto ya kukifanikisha ni astral projection aisee....yaani huwa natamani siku nione how it feels kuwa ndani astral body, sema hofu ndo bafo inanitawala. Huwa nahisi ni kama nitakufa katikati ya mchakato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kiongoz, ... 05:54Humu tunalinda kwa muda wa GMT
CA ni 04:52
EA ni 05:52
Na naimani wote tupo EA.Humu tunalinda kwa muda wa GMT
CA ni 04:52
EA ni 05:52
Naandaa handing over report hapa ili nifunge lindo milango wa kusiniWalinzi muda bado kdg
Sidhani
Mkuu sie wa CA bado kdg ,ila fungeni tu ,ngoja nihamie mitaa mingineAmanda's handing over report hapa ili nifunge lindo milango wa kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine buza, kijitonyama, external, Moro, Chaaato๐๐๐Sidhani
Hahahaha, Mkuu kuna walio Ndola/kasumbalesa humuMwingine buza, kijitonyama, external, Moro, Chaaato[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukutane boko national housing
Halafu sisi binadamu tuna mambo mengi sana, utajikuta unaanza kwenda nyumbani kwa mpenzi wako kumchunguza, unamkuta na mchepuko unastuka na unafia juu kwa juu๐๐๐๐Hii bhana mi ndo nilikuwa naitaka sana. Siwezi kusema nilifanikiwa kwasababu sikuwahi kujiona pembeni ya mwili wangu ila kusafiri spiritually nimesafiri sana. Hofu ndio iliyonifanya nikatishe haya mambo maana nikiangalia kukutana na vitu nisivyovielewa
Sent using Jamii Forums mobile app