My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 929
- 2,601
[emoji38][emoji38][emoji38] snyimbo za sasa zote ni matusi zote ww hupendi Bongo flv,
uko poa lakini?
Niko poa, Yupi ni msanii wako pendwa kwa bongo flv ya sasa?mmmh hizi bongo flv za siku hizi zinazibua maskio [emoji6], niko poa za wewe?
π³ π³ niya usiku huu hiyo bill?Thamani ya hii bill, maeneo ya buza napata kiwanja cha 50 kwa 50
View attachment 1450511
Niko poa, Yupi ni msanii wako pendwa kwa bongo flv ya sasa?
Au ww unapenda maigizo tu drama na hizi tamthilia muziki sio sana?Amna kwakweli mi kwenye miziki nipo nipo tu, ila kusema huyu sijui namkubali hamna.
Mi movies tu, hayo maigizo mmmmmh hapanaAu ww unapenda maigizo tu drama na hizi tamthilia muziki sio sana?
Tukaribishane[emoji4]Mida ya daku hii..
movies zipi sasa Action,Drama,Sci-fiction,Adventure au zozote ww hukatai ni mlevi kama mm wa movie?Mi movies tu, hayo maigizo mmmmmh hapana
Hio buza ya mtwara au?!Thamani ya hii bill, maeneo ya buza napata kiwanja cha 50 kwa 50
View attachment 1450511
movies zipi sasa Action,Drama,Sci-fiction,Adventure au zozote ww hukatai ni mlevi kama mm wa movie?
π π π mm bongo movie zile za kuchekesha tu ndio napenda wahindi naangalia lakini action zao wale bhana mtu anadunda kama kitenesi ππππzozote ila wahindi na bongo movie usihesabie[emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] mm bongo movie zile za kuchekesha tu ndio napenda wahindi naangalia lakini action zao wale bhana mtu anadunda kama kitenesi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] mm bongo movie zile za kuchekesha tu ndio napenda wahindi naangalia lakini action zao wale bhana mtu anadunda kama kitenesi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Na kwako pia QueenNilale sasa uwe na usiku mwema.