God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,311
- 1,533
Changamoto yako sio kubwa kuliko maeneo mengine wao hawana hata kifo kimoja na wanacase chache sana saiz zilizo active ni 35 tu.Naona mtandaoni tu mkuu,ila sina uhakika kama itafanya kazi kwa 100% kwa sababu hata huko inapotoka wanachangamoto la hili tatizo
😂😂😂 kwamba unanidai af nimekufungia vioo.. nimekueka ignore list na una muda haunipati daaahh 😂😂..Nilimwambia nn kwani mm? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] unawahi wapi mzee!Nimekuja mbio nikajua nimechelewa.
Ata mimi nilikuwa fan wa hiyo movie lakini siku hizi sipati masaa ya kuifutilia.Huwa na change kila muda lakini mm huwa napenda sana villain kuishi hero uwanape kuwaona mahero wakiteseka tu kwenye movie.
Awww huyo sio mm nilisema maana jana account yangu ilihakiwa [emoji22] naomba radhi sana kwa yaliyotokea nilikuwa sio mm yule [emoji17][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba unanidai af nimekufungia vioo.. nimekueka ignore list na una muda haunipati daaahh [emoji23][emoji23]..
Subiri tu mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vp hakuna box la kupiga tuishi nalo uswailini hili tukapige pesa?Tulikuwa bize kupaki na kuonja kovidi juisi.
Ushaanza ubongo movie 😁..sawa bhanaAwww huyo sio mm nilisema maana jana account yangu ilihakiwa [emoji22] naomba radhi sana kwa yaliyotokea nilikuwa sio mm yule [emoji17]
Ya jana hioAcha uwongo! how did you do that? [emoji15] mapema hivi!
[emoji23][emoji23][emoji23] unawahi wapi mzee!
Inakuja mpya lakini matrix 4 sema ndio corona kaleta kisanga [emoji17]Ata mimi nilikuwa fan wa hiyo movie lakini siku hizi sipati masaa ya kuifutilia.
Walio icheza wanajua ku act na wako na experience mingi
Sasa ac imehakiwa mzee wangu nilikuwa sio mm yule mtu tu kaamua kunichafua [emoji17]Ushaanza ubongo movie [emoji16]..sawa bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vp hakuna box la kupiga tuishi nalo uswailini hili tukapige pesa?
Vp umetoka salama lakini [emoji23][emoji23] hukuvishwa khanga na ww kama na nn?Nilitekwa Intelligence kule.
Hilo ukilileta uraiani unakuwa boss mapema tu.Tumepiga moja sema tuko wengi, bado mgao.