Unaish wap mjomba,..maana kama dsm leo tunafaid manyunyu ya mvua toka aaubuh,kaubarid flanWakuu hili joto ni hatari!
Nimeanza kutafuta usingizi tangu 2300 had Sasa 0327 bado nipo macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu05:12
Nipo nilikua najenga ndoaKaribu
Cha asubuhi mkuu. Safi sana.Nipo nilikua najenga ndoa
Hahahaha. Nimepigwa marufuku Niko na Mtoto mchanga ndio kwanza ana siku 13.Cha asubuhi mkuu. Safi sana.
Duh hapo lazima uvute subira mkuuHahahaha. Nimepigwa marufuku Niko na Mtoto mchanga ndio kwanza ana siku 13.
Ndio naambiwa Happy birthday Elli, nilishaachana na kusahau hizi mamboDuh hapo lazima uvute subira mkuu
Kwa hiyo ni siku yako ya kuzaliwa? Kama ndivyo HBD broNdio naambiwa Happy birthday Elli, nilishaachana na kusahau hizi mambo
Naam Sheikh, Amen.Kwa hiyo ni siku yako ya kuzaliwa? Kama ndivyo HBD bro
Kila la kheri mkuu. Mungu akujaalie yote yenye kheri ndani yakeNaam Sheikh, Amen.
Asante Sana Mpwa.Kila la kheri mkuu. Mungu akujaalie yote yenye kheri ndani yake
Kila la kheri mkuu. Mungu akujaalie yote yenye kheri ndani yake
Tupo pamojaAsante Sana Mpwa.
Sawa sawa mkuuTafuta na hizo zingine ziko poa..
Muvi nyingi za Gelard Butler siko poa. Anza na 300 ya mwaka 2006