Sijakwenda kitambo maana kuna mtu alikuwa amepanga tu plus na sisi ndio tulikuwa wale wa kwenda kumtembelea likizo. So kama mbili tatu ndio tulikaa pale, uswahilini sana plus uhuni lakini ilikuwa experience nzuriDah ha ha
Itabidi unipe siri ya mafanikio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjini watu hawalali babu ukilala unalala ww tu mm kawaida ikifika saa 0300 ndio muda wa kulala asubuhi unaamka unaenda kulipa madeni.
Mission zangu ni ngumu utaweza kweli ww?Itabidi unipe siri ya mafanikio [emoji23][emoji23]
Hapa naona mission inakaribia kuwa impossible
Unanitisha sasa bro sio poa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mission zangu ni ngumu utaweza kweli ww?
Unatakiwa uwe na akili ya faster kidogo alafu usiwe muoga kabisa ukitetema tu ujue kazi ushaharibu.Unanitisha sasa bro sio poa [emoji23][emoji23]
Wanachokifanya saiz wanajua wenyewe.Hawa mabinti leo wamezuwiliwa na wazazi kutoka
Hapo kazi nishakosa.. bora nikaendelee na kupiga sales maana sihitaji kufikiria faster [emoji23][emoji23]Unatakiwa uwe na akili ya faster kidogo alafu usiwe muoga kabisa ukitetema tu ujue kazi ushaharibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa mabinti leo wamezuwiliwa na wazazi kutoka
Akiri sio sana lakini confidence ndio nyingi zaidi.Hapo kazi nishakosa.. bora nikaendelee na kupiga sales maana sihitaji kufikiria faster [emoji23][emoji23]
Bro unanimix [emoji23][emoji23].. unavyoisoundisha kama deal haramu [emoji23][emoji23]Akiri sio sana lakini confidence ndio nyingi zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23] Dili bandia tu mm ninazo za halali mtonyo mdogo.Bro unanimix [emoji23][emoji23].. unavyoisoundisha kama deal haramu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nice night blood[emoji23][emoji23][emoji23] Dili bandia tu mm ninazo za halali mtonyo mdogo.
Same to you hommie [emoji109][emoji23][emoji23][emoji23] nice night blood