Unaonekana ulikuwa unafaulu sana kiswahili maana sio kwa "mlemavu wa lugha" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyewe nikilema mzr tu wa lugha.
Muhimu mkuuHahahaha, unataka kujiunga
MTC | 101| [emoji769]
Wewe jikaze acha Mimi nilale.Likikushinda na Mimi linanishinda
MTC | 101| [emoji769]
Walahi itabidi nijiweke karibu na wewe maana mimi kiswazi na ngeli ya kubabaisha. Hata lugha ya asili sijui .poor me [emoji23][emoji23]Hahahaaa mimi lugha ya Spanish na Deustch ndio kuna muda inanitoroka maana sipati wa kuongea nae. Mpaka niwe na bro mmoja ambae ni guide anaelewa kidogo hizo lugha..so tunapiga vistori.
Na wewe pia kamandaKheri ya mwaka mpya makamanda!!
[emoji23][emoji23][emoji23] kiswahili nawezea wapi mm kwani ww wajuaji wa kiswahili huwajui wenye lugha zao wakina mpoto huko.Unaonekana ulikuwa unafaulu sana kiswahili maana sio kwa "mlemavu wa lugha" [emoji23][emoji23][emoji23]
Af mwanaume ukijua sana kiswahili hata huthaminiki ..skuli bwana
Id yako siku zote naifananisha na Y2k
Huu ukanda wa bahari umezidi sana nitofauti na huko.
Shukrani, wkend inaanzaje huko?
Wabeja sana kamanda.Na wewe pia kamanda
Was supposed to write next game between Simba and Yanga
Hapa niko naangalia movie fan inapepea mpaka inaleta joto.
Popo msalitiMimi hapa
Mpoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe unaweza nini au nimsubiri Mungu wa kigiriki[emoji23][emoji23][emoji23] kiswahili nawezea wapi mm kwani ww wajuaji wa kiswahili huwajui wenye lugha zao wakina mpoto huko.
Hapa niko naangalia movie fan inapepea mpaka inaleta joto.
Hapa niko naangalia movie fan inapepea mpaka inaleta joto.