Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Mwemzio mshamba mkate naweka kwenye fridge ila ahsante umenikumbusha ni kitu rahisi kupoa
Hahahaha jaman sinijue ili nianze kuki utia kasWewe kama unaanza kuuliza kiporo cha nn, basi njaa haijakuuma vizuri[emoji3][emoji3]
Hahaha kumbeee[emoji119]Kwa hilo washamba tuko wengi.
Mwemzio mshamba mkate naweka kwenye fridge ila ahsante umenikumbusha ni kitu rahisi kupoa
Na mayai mnaweka wapi?Kwa hilo washamba tuko wengi.
Amen pumzikaNashukuru Mungu nimeiona Leo...
Naomba niwakimbie, mapumziko na Lindo jema kwetu sote
Kwenye fridgeNa mayai mnaweka wapi?
Mkate ambao hua mlaini sana ukishaufungua hauchukui siku2 unaweka ukunguNa mayai mnaweka wapi?
Bado tupoHaya mnikabidhi lindo sasa
Sio ushamba mimi nafanya hivi piaMwemzio mshamba mkate naweka kwenye fridge ila ahsante umenikumbusha ni kitu rahisi kupoa