JamiiForums Usiku wa manane

Dah! kaniachia afadhali,kwema humu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ukiwa unaendesha chombo cha usafiri...unaweza ukafika sehemu chombo kikazima kutokana na matatizo ya kiufundi;ni hivyo hivyo hata kwa binadamu na viumbe vingine wanaweza kupenda kulala sana baadaye wakajikuta injini ya miili yao inazima ghafla na kujikuta wameingia mbinguni.........kwa hiyo wakuu nawashauri msilale,lindeni kwa afya ya miili yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…