Nimekurupuka kwenda lindo, kuangalia saa kumbe bado, imebidi nirudi kulala japo kidogo kabla ya lindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka zamani ....!
Nimekurupuka kwenda lindo, kuangalia saa kumbe bado, imebidi nirudi kulala japo kidogo kabla ya lindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani yetu au Zamani yako?
Zamani yao.
Hukosagi jibu
Limeniponyoka tu,hamadi hili hapa !!!
Kila kitu wewe vinaponyoka
Kingine kipi hicho,mpaka ikawa "Kila kitu wewe vinakupnyoka" ?
Nitakukumbusha pembeni
Na wewee
Darasa tayariNani anaweza kunikumbusha wanyama wanao pata HEDHI ?
Darasa tayari
Ukikumkuka nitagiNani anaweza kunikumbusha wanyama wanao pata HEDHI ?
[emoji136]