Wanawake siku izi mmekua wapuuzi me nataka mzigo ananiambia kachoka nimetoka kitandani nikachukua simu nipo zangu nabet
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hii nayo huwezi kuitumia kwenye jambo nyeti
Haha ni kweliJambo nyeti inabidi ku-force ukiona hamwelewani.
Ila ukishafanya kama mbili au tatu za hasara unakuwa umejiwekea mazingira mazuri ya kusikilizwa.
Wanawake siku izi mmekua wapuuzi me nataka mzigo ananiambia kachoka nimetoka kitandani nikachukua simu nipo zangu nabet
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran, tatizo soksi joto.. Yaani Nje Ntiti, Ndani Ntiti..pole chief...vaa soksi
Wajameni lindo jema
Unaenda vile ukam.. Roll call inapita hivi punde..Narudi ....