Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,401
- 100,583
I miss you ....no let me correct that....I miss the OLD YOU....Missing you mamalai.
[emoji30][emoji30][emoji30]I miss you ....no let me correct that....I miss the OLD YOU....
[emoji30][emoji30][emoji30]
I wish i could go back, nalala siku hizi kizembe. I went to a pro for helpWhy crying....?
Mbona umechelewa sana au kulikua na foleni barooLindo limeanza where are you shemeji yangu Da'Vinci
Hatupo idle tupo lindo [emoji23]
I am glad, uko fixed now....I wish i could go back, nalala siku hizi kizembe. I went to a pro for help
Mida yangu ndio hii hata sijachelewaMbona umechelewa sana au kulikua na foleni baroo
Sa ndio ka hivi lindo nayo inakua evasive mda mwingiI am glad, uko fixed now....
Maana kidogo utuambukize.
Great News kwa kweli...
Heri ya mwaka mpya na kwako tunamshukuru Mungu tumevuka salama.....Nikutakie Heri ya Mwaka mpya kipenzi....
Za kupoteana?
Dah, ila Kama una Mpenzi unayempenda Sana lazima uage lindo tu, sasa huku kukaa lindo kinyume na matakwa yako ni maumivu SanaHatupo idle tupo lindo [emoji23]
Shift inaaanza saa sita kamili na umekuja sa saba huni kuwa umelate? [emoji16]Mida yangu ndio hii hata sijachelewa
Konyagi ya nini. Kunywa maji mengiNani ana sumu ya mbu Aniazime? Kuna mbu jike mmoja ananisumbua saaaana Sana, au Kama una konyagi itasaidia pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Konyagi ninayo ila imebaki kidogo sana itakufaa?Nani ana sumu ya mbu Aniazime? Kuna mbu jike mmoja ananisumbua saaaana Sana, au Kama una konyagi itasaidia pia
Sent using Jamii Forums mobile app