JamiiForums Usiku wa manane

Ili kuwaje mpaka ukakubali kuianza safari na dereva ambaye hana vigezo vinavyo stahiki .... hauoni kuwa hapo wewe abiria na dereva wote mtakuwa na matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vigezo stahiki ni vipi? Anaweza kuwa na leseni sawa, sio chapombe sawa, ana sifa zote za udereva lakini unajua anawaza nini kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…