JamiiForums Usiku wa manane

Niliambiwaga hilo neno sikujua maana yake nikaenda kumuuliza mtu akazidi kunipoteza. ..nilipokuja kujua nilibaki nacheka
Acha kabisa,kukataliwa kunauma kinoma kibaya zaidi yule anae kukataa akawa anampenda mtu mwingine...... Daaaah utaomba ardhi ipasuke utumbukie ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…