Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,003
- 100,207
Kunemekucha kitakua cha Pili,njoo sasa nikupe cha sasaNitafurahi sana, sema na wewe utanipa kumeshakucha....nahitaji sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema ukweli?Kunemekucha kitakua cha Pili,njoo sasa nikupe cha sasa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Njoo bana ,nakugandishaje kwa mfano
Siamini...acha nijitose.Njoo bana ,nakugandishaje kwa mfano
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha,mrejesho hapana, wataiba mbinu zanguSiamini...acha nijitose.
Uniruhusu kuleta mrejesho kesho lakini...
Sisi tunamkoshaga kila mtu hapa Bongo. Tunataniwa na kila kabila. Halafu ndugu zetu Wanyakyusa nao ndo wanafuatia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] wasukuma mnanikoshaga!
Kwema best, hofu kwako
Limekaza jicho mno kha !!!Walionea wivu ama?
Naomba Leo muwepo baadae nitatoa orodha mpya ,nikiwa km Popo Mkuu/Popo mwandamizi
[emoji767]101-03-821.M|T|C