Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,903
Hiyo picha imeniacha hoi
Hata mimi niko salama
Ni vizuri kusikia hivoHata mimi niko salama
Hahah nimeona nikushtue moyo kidogo mkuu.
Hamna noma mkuu,naona lindoni kama kawa.
Hahaha ila hua sizikubali hizo type .naonaga ni ugonjwaHiyo picha imeniacha hoi
Leo niponipo
Kama kawa, yani ilipofungwa jf nilipataga tabu sanaaaHamna noma mkuu,naona lindoni kama kawa.
Hahaha ila nilisikia ac za hivo hua zinamilikiwa na vidume humu[emoji23]Hahah nimeona nikushtue moyo kidogo mkuu.
Hahah hao ndio wasiojulikana mkuu,gusa unate inaitwa.Hahaha ila nilisikia ac za hivo hua zinamilikiwa na vidume humu[emoji23]
We unajibebisha unadhani mtoto mzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hivi hua ninamsema vibaya mtukufu[emoji23]Hahah hao ndio wasiojulikana mkuu,gusa unate inaitwa.