JamiiForums Usiku wa manane

Nipo ujue kazi ya ulinzi,inatakiwa ujilinde wewe kwanza, kumsubiri MTU hujui anakuja SAA ngapi kazi na anakuja na nini usiku huu

Acha nikae angle niwatazame mnavyo tiririka

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kweli mkuu mi napiga doria hapa najaribu kuwauwa maadui wa Afya wajulikanao kama Anopheles, ila wanajua kukwepa mbinu zangu za kijasusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…