Ndo hivyo, usipokuwa na saa yako wanaweza kukupoteza hivi hivi.... Halafu na taarifa za habari wanazirekodi saa 5 usiku unashangaa unaoneshwa au kusikiliza habari ya saa 2 usikuKhaaa kumbe ndo maana
Unajua tulikuwa tunarudi home saa nane wakati tuliangalia saa ni saa nne.... Hahahhahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo hivyo, usipokuwa na saa yako wanaweza jujupoteza hivi hivi.... Halafu na taarifa za habari wanazirekodi saa 5 usiku unashangaa unaoneshwa au kusikiliza habari ya saa 2 usiku
Ntakuchanganyia na ugoro tunafunga na sigara kali (nyota)Mmhh basi niwekee siku nikija dar unipatie..
Mbona wanasema malawi stimu zake zinaishia uganda tu mm nataka nifike kwa trump
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wapuuzi sana wale watuUnajua tulikuwa tunarudi home saa nane wakati tuliangalia saa ni saa nne.... Hahahhahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenifanya nimejiona mjinga
Unavyonipamba kama kweli vile..Ntakuchanganyia na ugoro tunafunga na sigara kali (nyota)
Ila. Sisi ndo wapuuzi wa mwisho tulikua hatuoni hata hali ya hewa ya usiku.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wapuuzi sana wale watu
Huo ugoro usisahau kuukojolea kwanza[emoji126]Ntakuchanganyia na ugoro tunafunga na sigara kali (nyota)
Sasa kwan uongo?Unavyonipamba kama kweli vile..
Weeeee ataniua..Huo ugoro usisahau kuukojolea kwanza[emoji126]
Wewe unakulaga vipi..Sasa kwan uongo?
Njoo uwake
Ugoro bila mkojo haunogi [emoji126]Weeeee ataniua..
Ticha hivi nane bado eeMbona huu uzi mnauvamia mida isiyo husika?
Umshauri nyanya yako uone atakacho kuambia..Ugoro bila mkojo haunogi [emoji126]
Sina nyanya nina kitunguu [emoji2] [emoji40] [emoji126]Umshauri nyanya yako uone atakacho kuambia..
Miss you mdadaTicha hivi nane bado ee
Wee mkorofiiiSina nyanya nina kitunguu [emoji2] [emoji40] [emoji126]
Yaan huku naona watu wapya wapya tu ikabid nipite tu..miss u moreeMiss you mdada
Hivi saa ngapi saa hizi? Niondoke zangu hapa bar maana naona taarifa ya habari ya saa 2 ndo inaanzaIla. Sisi ndo wapuuzi wa mwisho tulikua hatuoni hata hali ya hewa ya usiku.....
Pombe siyo maji