Hahah VITZ ya nini mkuu wkt naweza nikapanda haice kwa nauli ya jero jero tu hapa mjini kama ile thread ya Padri Mcharo uliyochangia aisee.😉😉😉😉😉
Aisee mudaa huu nacheka tu na jamii photo.
Angalia usiwe felia wa maisha kama mimi mkuu nazeeka sina hata vitz
Hahaaaaa wee jamaa upo unakagua comments zangu. BTW nimesoma thread zote za Padri mcharo toka saa 23:00 nimecheka mbaya mbovuuHahah VITZ ya nini mkuu wkt naweza nikapanda haice kwa nauli ya jero jero tu hapa mjini kama ile thread ya Padri Mcharo uliyochangia aisee.
Hahah nilikua ndo nimefungua jf nikaona nyuzi zinazo trend ume comment kwny huo uzi hahah,Hahaaaaa wee jamaa upo unakagua comments zangu. BTW nimesoma thread zote za Padri mcharo toka saa 23:00 nimecheka mbaya mbovuu
Kidogo nifukue uzi wa muuza simu flan hivi toka kwao na Seneta Wa Mtwiz nikaamua kumkaushia maana uzi wa 3yrs ago..Hahah nilikua ndo nimefungua jf nikaona nyuzi zinazo trend ume comment kwny huo uzi hahah,
By the way niko huku lindoni nacheki movie moja inaitwa "Syria cover" ya mwaka 2017 ukipata muda icheki ina uspy kidogo wa mossad vs Syria intelligence agency iki reflect kipindi cha utawala wa Asssd Senior.Hahaaaaa wee jamaa upo unakagua comments zangu. BTW nimesoma thread zote za Padri mcharo toka saa 23:00 nimecheka mbaya mbovuu
Hahah aisee umetisha sana, ule uzi usha expire kitambo sana.Kidogo nifukue uzi wa muuza simu flan hivi toka kwao na Seneta Wa Mtwiz nikaamua kumkaushia maana uzi wa 3yrs ago..
Ooooh sijaicheki hiyo kabisa, nitaitafuta. Mm nimeangalia muvi moja tu leo. Fortune Soldier.By the way niko huku lindoni nacheki movie moja inaitwa "Syria cover" ya mwaka 2017 ukipata muda icheki ina uspy kidogo wa mossad vs Syria intelligence agency iki reflect kipindi cha utawala wa Asssd Senior.
Hahaaaaa biashara yako ad's zake zilikua low sana. Ungempa hata mchepukoHahah aisee umetisha sana, ule uzi usha expire kitambo sana.
By the way simu yenyewe haikununuliwa wala nini,hapo ndipo utajua uanaume bila hela mbupu zinageuka kua mzigo,hahah
Sijaisoma hio ni Action/Comedy/Comic au?Ooooh sijaicheki hiyo kabisa, nitaitafuta. Mm nimeangalia muvi moja tu leo. Fortune Soldier.
Soma uzi wa sheria tano za kupiga punyeto utalala vzr sana..Siamini kama nimeshindwa kulala mpaka mda huu
Sitaki hata kuskia habali za punyeto mkuuSoma uzi wa sheria tano za kupiga punyeto utalala vzr sana..
Kama hauko kazini muda huu basi ujue wengi wenye matatizo ya kulala mpk sasa hivi ni wale member wa CHAPUTA na hio ni moja side effects yake mkuu(niko serious).Siamini kama nimeshindwa kulala mpaka mda huu
Unataka kuniaminisha kwamba Mimi kua macho mpaka sasa ndio Niko sahiiKama hauko kazini muda huu basi ujue wengi wenye matatizo ya kulala mpk sasa hivi ni wale member wa CHAPUTA na hio ni moja side effects yake mkuu(niko serious).
Hahah wadau humu wanafiki sana hata kuja PM kuulizia bei hamna,hahah.Hahaaaaa biashara yako ad's zake zilikua low sana. Ungempa hata mchepuko
Action ya kivita mzeeSijaisoma hio ni Action/Comedy/Comic au?
Ndio,kama ni member wa CHAPUTA wa muda mrefu.Unataka kuniaminisha kwamba Mimi kua macho mpaka sasa ndio Niko sahii
Daaaah ungeuza hata kwa fundi dogo langu..Hahah wadau humu wanafiki sana hata kuja PM kuulizia bei hamna,hahah.
Niliishia kuifanya kama modemu tu(kusambaza wi-fi kwny Pc)
Duuuuh CHAPUTA nimeiacha tokea mwaka 2015 mkuuNdio,kama ni member wa CHAPUTA wa muda mrefu.
Ni dawa ya usingizi but at ur own risk..Siamini kama nimeshindwa kulala mpaka mda huu