JamiiForums Usiku wa manane

Yani mke mdogo kanipiku kabisa. Ngoja nirudi zangu kwa Saint Ivuga wangu maana Inna hanaga shida.
Mzigua jamani yani ukiwa na comversationa na huyu mtu Maserati jitahidi sana usinitaje kwa sababu nitakutuka futi elfu kumi.

Yani huyo ni kama genius wangu na sitaki ajue madudu yangu.
Nataka muda wote ajue kuwa mimi ni mtu safi na sina mawaa.

Yani nitakuruka live bila chenga.

Huyo ni shemela wangu wa tumbo moja toka nitoke.
 
Hapa na Maserati keshakuelewa we shemeji gani kuwa mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…