Leo.ni mwendoo wa mabusuuu tu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Habari za wakati huu
Asante. Naona leo umeanza na somo zuri KabisaLeo.ni mwendoo wa mabusuuu tu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nipe langu na mmLeo.ni mwendoo wa mabusuuu tu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Asante nimemis busuu tafadhali naombaAsante. Naona leo umeanza na somo zuri Kabisa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) .
Jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti na badala yake busu kimahaba…..
1.Sogeza midomo yako kama ilivyo (umeifumba lakini iko-relaxed) kwenye midomo ya unaetaka kumbusu…..kisha itulize midomo hiyo juu yake na sasa toa “busu kavu” juu ya midomo yake kisha jitoe alafu rudi tena x3
2.Inua uso wake kwa kutumia kidole (hii ni kwa wanaume) na mbusu moja kwa moja kwa kugusanisha pua kiaina…-Busu kwa kupindisha shingo/kichwa ili kutogusanisha pua zenu…
3)-ukiwa umepindisha kichwa/shingo…mshike mkono au mkumbatie kiasi na busu tena.
[emoji105] [emoji105] [emoji105] [emoji105] [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nipe langu na mm
Bibie mambo?Kuna aina tofauti za kubusu ili kutuma ujumbe kwa mpenzi wako lakini busu zote zinahusiaha ulimi na mate.
Unaweza ukapewa busu wewe ukadhani ni kawaida (kama hujui) lakini mwenzio anakwambia amechoka, anakupenda, anashukuru, amefurahi kukuona, hataki kungonoana siku/wakati huo, hana raha/hujamfurahisha, anataka kuwa peke yake, anamachungu, yuko busy n.k.
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Habari za wakati huu
Nzuri mkuu, karibuHabari za wakati huu
Mwaaaaaaaaaaaahhh[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Asante nimemis busuu tafadhali naomba
Mi sio mchoyo kwenye hilo maana mimi mwenyewe napendaga [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] * 100Asante nimemis busuu tafadhali naomba
Vepeee unaenda wapi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Asante kiongozi. Vip siku imeenda vip?Nzuri mkuu, karibu
PoahBibie mambo?
AsanteeeeeeMwaaaaaaaaaaaahhh[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]