Unatafutwa na Thad wewe kazana tu na vifunguWanizungukao na kunichongeaa, ni wale nijitoleao nafsi yangu, kusaidia maisha yao.
Matendo yangu ya huruma kwaoo, wamejitahidi wayageuze, wanitie majaribuni,
Oooh! Oooh! Mambo ni yale yale siku zotee,
Mtu mwema hathaminiwi kwaoo,
Yuda alimsaliti Yesuu,
Wanafunzi walimfukuza Mtume Muhammad,
Lakini hayo yote hayawezi kumfanya Mungu asimamishe kazii yakeeeee,
Ukimpelekea mashauri yenye dhambiii, mwenye dhambii
Atashindwa kuyaamua!!!!!
Welah! Wellahhhhhhhhh!
Yaani nikimsikia tu nachanganyikiwa! Huwa ananipa za uso huyo bidada duh! Yaani natamani tunkujificha! Ngoja tu nimwite atakachonipa ntakubali.Unatafutwa na Thad wewe kazana tu na vifungu
Mzima lkn?
Ok tuwangoje..mzima wwNahisi kuna sehemu wamepitia,tuvute subira
Kwema..upooKwema humu
NzuriHabari za humu wakuu
Hivi humu huwa mnahuzuria kila nightNzuri
Nipo. Pm ruksa? Nimekumiss sanaKwema..upoo
Yaaah tupo kila usiku mzito kama huuHivi humu huwa mnahuzuria kila night
Karibu najua sitabaki kam nilivyoNipo. Pm ruksa? Nimekumiss sana
Nimekujaukiwakuta.huko waite.huku waje.
Nipo rafikiLeo mmegoma kuja sio
Dingimtoto bae
Mjr95
Neybright
Kichwa kichafu
Thad
Jje's
Hb wa kigogo
Window saba
Ipogolo
Mwifwa
Mnapeana joto eee