JamiiForums Mount Kilimanjaro Climbing Tour March 2015

JamiiForums Mount Kilimanjaro Climbing Tour March 2015

Last edited by a moderator:
Hapana! Mama yako alikuwa mshirika wangu kwenye ule mchezo wa tayariiii badooo!!

Naweza kuwa na uelewa mdogo.......ila mkuu.......jibu kama hili kwa farkhina ni kubwa sana...........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Ndiyo mkuu nimekupata vyema na asante kwa maelezo yako.
Hili zoezi limeanza muda nrefu kidogo,
na gharama na kila kitu tayari tumeshabainisha.

Hatujaweka gharama wazi kwa sababu tumeomba udhamini kwenye baadhi ya makampuni..
sasa hatuwezi kusema moja kwa moja kuwa tutachangia sh. ngapi ili hali hatujui mndhamini atatupa kiasi gani.

Ila nia yetu ni nzuri sana yakuwawezesha Watanzania kufurahia hizi rasilimali tulizonazo.

Mchanganuo wa gharama tayari tumeofanya kwa ukamilifu wake..
Gears zakupandia ni jambo dogo tu.

Cc: ALLEX, CHAI CHUNGU, Chagga King, @nyabhing,

Mkuu Manjagata.. umri usiwe chini ya miaka 10..

Nimekupata Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
This is stupidy.../ make sure you get advice from experts! The idea is good but the route can be dangerous for other people depending with the altitude they come from..... Marangu has huts and not camping route but technically is worse because 5 days going up without chance to acclimatize for people who come from low altitude is torture! Better Machame 7 days! Have climbed 4 routes including Marangu and I think is the worse.

Before you decide to climb go online and get personal advice based on your health. "

we have a lot of experts here...
 
Nalikumbuka sana. Nipe tenda ya kupandisha wanaJF kupitia kampuni yangu ya utalii mkuu.

Safi sana mkuu..ila tunampango wakupanda kwa free pass..

Sidhani kama kampuni itahitajika sana.
Muhimu tuwasiliane. Nitakupigia mambo yakiwa sawa.
support yako inahitajika pia.
 
nakubaliana na members wengine kuwa ni wazo zuri ila tu ratiba ibadilike kidogo mlimani mwezi machi hadi mwanzoni mwa mwez juni kuna mvua ya hatari hata wazungu na maguide wazoefu wanashindwa so nashauri iwe may be katikati ya mwezi juni kuendelea.
 
Safi sana mkuu..ila tunampango wakupanda kwa free pass..

Sidhani kama kampuni itahitajika sana.
Muhimu tuwasiliane. Nitakupigia mambo yakiwa sawa.
support yako inahitajika pia.


Tuko Pamoja Mkuu.
 
Naaaam! Hapa umesomeka Mkuu kiwatengu

Kwa kuwa muda unaruhusu ngoja nitarudi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom