JamiiForums Mount Kilimanjaro Climbing Tour March 2015

Idadi isikuogopeshe sana, naona hapo kuna 8 climbers, niongeze na mimi, ukipata mmoja idadi ikifika 10 climbers tayari utupatie bei, group of 10 climbers is maximum then ikitokea 11 uanzishe group nyingine, upo hapo?
 
Mtakuja kuwauwa wenzenu bure bora muende mbuga za wanyama au tour za visiwani.

Mlima mrefu kama Kilimanjaro ukurupuki tu ukaupanda inataka maandalizi ya pumzi na fitness hili kuweza kuhimili high altitude. Mtu asie fit anaweza potea hivi hivi ndio sababu watu uhakikisha wapo fit kwanza kabla ya kuji-commit.

Sasa hiyo tour inayoandalia kwenye social forum in that short space of time msije mkachukua walevi na chain smokers ikafika mahala awawezi pumua na kupoteza maisha.
 
Are you proffessionals ama tunanataka kupotezea watu muda. Waekezeni watu kwa njia ya marangu hawatolala kwenye hema. Pili tunaweza kuwasiliana na Tanapa kupata special rate! Tatu group size it doesnt matter kama mpo zaidi ya watano. Pia tanabaisha equipments(clothing) zinapatikana wapi!

Ndiyo mkuu nimekupata vyema na asante kwa maelezo yako.
Hili zoezi limeanza muda nrefu kidogo,
na gharama na kila kitu tayari tumeshabainisha.

Hatujaweka gharama wazi kwa sababu tumeomba udhamini kwenye baadhi ya makampuni..
sasa hatuwezi kusema moja kwa moja kuwa tutachangia sh. ngapi ili hali hatujui mndhamini atatupa kiasi gani.

Ila nia yetu ni nzuri sana yakuwawezesha Watanzania kufurahia hizi rasilimali tulizonazo.

Mchanganuo wa gharama tayari tumeofanya kwa ukamilifu wake..
Gears zakupandia ni jambo dogo tu.

Cc: ALLEX, CHAI CHUNGU, Chagga King, @nyabhing,

Mkuu Manjagata.. umri usiwe chini ya miaka 10..
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini sio njia ya Machame wakati hiyo ndo fupi??
 
Umeongea point ya maana sana. Natumai wale wote ambao nafasi zao zitawaruhusu kushiriki katika shughuli hii wataangalia afya zao kwanza na Wataalamu kabla ya kujitoa 100%. Wengi ambao wamepanda mlima huu kwa kukurupuka na kudhani afya zao ni nzuri walijiweka katika hali ya hatari na kuugua sana na baadhi yao kupoteza maisha.

Mtakuja kuwauwa wenzenu bure bora muende mbuga za wanyama au tour za visiwani.

Mlima mrefu kama Kilimanjaro ukurupuki tu ukaupanda inataka maandalizi ya pumzi na fitness hili kuweza kuhimili high altitude. Mtu asie fit anaweza potea hivi hivi ndio sababu watu uhakikisha wapo fit kwanza kabla ya kuji-commit.

Sasa hiyo tour inayoandalia kwenye social forum in that short space of time msije mkachukua walevi na chain smokers ikafika mahala awawezi pumua na kupoteza maisha.
 
Mtakuja kuwauwa wenzenu bure bora muende mbuga za wanyama au tour za visiwani.

Mlima mrefu kama Kilimanjaro ukurupuki tu ukaupanda inataka maandalizi ya pumzi na fitness hili kuweza kuhimili high altitude. Mtu asie fit anaweza potea hivi hivi ndio sababu watu uhakikisha wapo fit kwanza kabla ya kuji-commit.

Sasa hiyo tour inayoandalia kwenye social forum in that short space of time msije mkachukua walevi na chain smokers ikafika mahala awawezi pumua na kupoteza maisha.

Mkuu kwani kupanda mlima kilimanjaro unahitaji mazoezi ya muda gani?

hii ni January, Kuna February then March..mbona ni muda wakutosha sana kutengeneza pumzi?..

Kama mtu anamatatizo yakifua ni ngumu sana kupanda..
 
Hoja yangu imejikita kwenye swala la precaution measures.

Tangazo la kupanda mlima alija kaa sawa kwa sababu zaidi ya watu 1000 kwa mwaka ushushwa kutokana na high altitude na minimum of 10 deaths occur annually these are people who had prepared to challenge them.

Sasa tangazo limekaa kama vile hiyo ni safari ya kutalii while mountaineering adventure requires mentioning risks associated hili ata watakao shiriki wasidhani ni swala la makoti ya kuzuia baridi na gloves tu, there is more na wajiandae kwa uelewa wa challenge yenyewe, ni hayo tu.

Binafsi nishapanda mlima meru mpaka kileleni nikiwa na miaka 13 na sekondari niliosoma form six walikuwa wanapanda mlima kilimanjaro maandalizi ya pumzi ni kitu muhimu sana as much as the closing wear.

A little facts from other tour guides on climbing the mountain.
Altitude Acclimatization While Climbing Kilimanjaro
 
  • Thanks
Reactions: BAK
İt is a very good idea katika kupromote local tourism, nimeipenda na nitakuPM ıli nipate more details.
 
Umeongea point ya maana sana. Natumai wale wote ambao nafasi zao zitawaruhusu kushiriki katika shughuli hii wataangalia afya zao kwanza na Wataalamu kabla ya kujitoa 100%. Wengi ambao wamepanda mlima huu kwa kukurupuka na kudhani afya zao ni nzuri walijiweka katika hali ya hatari na kuugua sana na baadhi yao kupoteza maisha.

Nimekusoma mkuu BAK
hili swala la afya..mkuu
Mtoto halali na hela atalizungumzia kwa upana wake.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
Hoja yangu imejikita kwenye swala la precaution measures.

Tangazo la kupanda mlima alija kaa sawa kwa sababu zaidi ya watu 1000 kwa mwaka ushushwa kutokana na high altitude na minimum of 10 deaths occur annually these are people who had prepared to challenge them.

Sasa tangazo limekaa kama vile hiyo ni safari ya kutalii while mountaineering adventure requires mentioning risks associated hili ata watakao shiriki wasidhani ni swala la makoti ya kuzuia baridi na gloves tu, there is more na wajiandae kwa uelewa wa challenge yenyewe, ni hayo tu.

Binafsi nishapanda mlima meru mpaka kileleni nikiwa na miaka 13 na sekondari niliosoma form six walikuwa wanapanda mlima kilimanjaro maandalizi ya pumzi ni kitu muhimu sana as much as the closing wear.

A little facts from other tour guides on climbing the mountain.
Altitude Acclimatization While Climbing Kilimanjaro

i got you well mkuu.
kwenye hiyo timu tuna maguide pia.
Wataweka mambo sawa hapa.
 
Shukrani Mkuu kiwatengu, ni vizuri kuchukua tahadhari ili kuepusha maafa. Link aliyoiweka Mkuu Zinjathropus kwenye post # 27 ni muhimu sana kuipitia kwa kina kwa wahusika wote. Kila la heri na maandalizi Mkuu.

asante mkuu, karibu pia na wewe.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmmh udzungwa tu nilitweta huo mwingine ntaweza wapi???
 
Kwa nini sio njia ya Machame wakati hiyo ndo fupi??

Njia ya Marangu (cocacola route) ni fupi na rahisi kuliko Machame (whisky route), tofauti ni siku ya kwenda summit-Marangu ni ndefu kuliko Machame.
 
Back
Top Bottom